BBC News, Swahili - Habari
Habari Kuu
Mawakili wa Tundu Lissu wapiga hodi Umoja wa Mataifa
Mawakili wa Kiongozi wa Upinzani nchini Tanzania aliyepo mahabusu, Tundu Lissu jana Ijumaa waliwasilisha malalamiko yao kwa Jopo Kazi la Umoja wa Mataifa wakipinga kuendelea kushikiliwa kwake
Kiongozi wa AFC/M23 wakutana na Kabila 'kujadili amani, na utengamano' DRC
Rais wa zamani wa DRC Joseph Kabila amefanya mazungumzo na kiongozi wa muungano wa AFC/M23 Corneille Nangaa mjini Goma, mji mkuu wa jimbo la Kivu Kaskazini lililopo mashariki mwa nchi hiyo.
Jinsi nchi za Magharibi zinavyoisaidia Urusi kufadhili uvamizi wake nchini Ukraine
Urusi inaendelea kupata mabilioni kutokana na mauzo ya mafuta na gesi inayouzwa nchi za Magharibi, kulingana na data iliyochambuliwa na BBC
Kwanini wanasayansi wanajiandaa kwa janga lingine la afya?
Virusi vya wanyama vinaenea karibu kila bara - hii ndio sababu hali ni tofauti wakati huu.
Siku ya Kupinga Tumbaku: Jinsi tumbaku inavyoharibu mwili wako
Kwa mujibu wa Shirika la Afrika Duniani (WHO), matumizi ya tumbaku huuwa takribani watu milioni sita kila mwaka. Watu laki sita kati ya hao, hufa kutokana na kuathiriwa na moshi wa sigara zinazovutwa na watu wengine.
Tetesi za soka Ulaya Jumamosi: Arsenal waanza mazungumzo kumhusu Sesko
Arsenal wameanza mazungumzo na RB Leipzig katika jaribio la kumsajili mshambuliaji wa Slovenia Benjamin Sesko, 21, ambaye ana kipengele cha kumuachia chenye thamani ya zaidi ya euro 80m (£67.4m)
Silaha mpya ya kutisha inayobadilisha vita nchini Ukraine
Harufu kali imetanda kwenye mji wa Rodynske. Dakika chache baada ya kuingia mjini, tunatazama inatoka wapi.
Jinsi PSG na Inter wanavyobadili dhana ya 'ligi ya wakulima'
Itakuwa ni fainali ya Ligi ya mabingwa ya kwanza katika miaka 21 ambayo haishirikishi klabu kutoka ligi kuu England (EPL), Ligi ya Ujerumani (Bundesliga) au ile ya Hispania (La Liga)
Amenorrhoea: Sababu 8 za kukosa hedhi mbali na ujauzito
Kukosa hedhi kwa wanawake wa umri wa kuzaa huitwa amenorrhea, na ingawa sababu inayojulikana zaidi ni ujauzito, kuna sababu nyingi kwa nini hedhi inaweza kuchelewa au kukosekana.
Vifahamu vyakula 5 vinavyosaidia mmeng'enyo wako wa chakula
Mfumo wa mmeng'enyo wa chakula unasaidia kusaga chakula tunachokula kuwa virutubisho, ambavyo mwili hutumia kwa nishati, ukuaji na ukarabati wa seli.
Kuomba radhi kwa Marais Ruto na Museveni ni mwanzo mpya au danganya toto?
Katika matukio nadra sana kutokea, marais William Ruto wa Kenya na Yoweri Museveni wa Uganda wameomba msamaha. Lakini nini hasa kilitokea?
BBC News Swahili sasa ipo WhatsApp
Gumzo mitandaoni
Nyuma ya mitandao na giza la uhalifu, unyama na unyanyasaji
Matukio ya mauaji ya halaiki, unyanyasaji wa kingono kwa watoto, na matamshi ya chuki, aina hii ya maudhui inafurika kwenye barua pepe za waangalizi wa maudhui ya mtandaoni.
'Walitupiga na kutubaka barabarani hadharani'
Wanawake na wasichana katika jimbo la Darfur nchini Sudan wako katika hatari ya kukabiliwa na ukatili wa kingono, shirika la matibabu lisilokuwa na mipaka Médecins Sans Frontières (MSF) limeonya.
Fahamu vita vya nyuklia vilivyoitikisa dunia
Hadi kufikia sasa, silaha za nyuklia zimetumiwa mara moja tu katika mapigano ya kijeshi mwaka wa 1945 wakati Marekani ilipodondosha mabomu ya nyuklia huko Hiroshima na Nagasaki nchini Japani.
Wanaume wa aina gani wako hatarini zaidi kupata saratani ya tezi dume?
Saratani hii huwapata zaidi wanaume wazee wenye umri wa zaidi ya miaka 75. Ni nadra sana kwa wanaume walio chini ya umri wa miaka hamsini.
Wanaharakati maarufu wanaozikosesha usingizi nchi zao Afrika Mashariki
Askofu mmoja wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Benson Bagonza anatafsiri uanaharakati kama imani na ushawishi katika jambo fulani analosimamia mtu na kulipigania.
Je, Tanzania iko tayari kwa umeme wa nyuklia?
Kwa sasa, zaidi ya mataifa 30 duniani yanatumia madini ya urani kuzalisha umeme, wakati huo huo Tanzania ikithibitisha kuwepo kwa zaidi ya 58,000 za urani nchini humo
'Hakuna mahali salama' - Raia waliokwama kati ya waasi na wanajeshi
Mapambano ya kutaka kujitenga yanatokana na malalamiko ya muda mrefu ambayo yanaanzia wakati wa uhuru mwaka 1961, na kuundwa kwa taifa moja la Cameroon mwaka 1972 kutoka maeneo ya zamani ya Uingereza na Ufaransa.
Yafahamu matunda hatari zaidi duniani
Matunda ni ovari zilizokomaa, zilizoiva za mimea ya maua ambayo humiliki mbegu na mara nyingi ni chakula kitamu.
Michezo
Afya yako
Waridi wa BBC
Sikiza / Tazama
Vipindi vya Redio
Listen Next, Amka Na BBC, 05:59, 2 Juni 2025, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Dira Ya Dunia, 18:29, 30 Mei 2025, Muda 1,00,00
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 06:59, 30 Mei 2025, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 05:59, 30 Mei 2025, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Dira ya Dunia TV
Kipindi cha habari motomoto, kinachowaweka watazamaji karibu zaidi na yanayojiri duniani
Zinazovuma zaidi
Mitandao ya Kijamii
Uchaguzi Mkuu Tanzania 2025
Kipenga cha uchaguzi mkuu 2025 kimepulizwa Tanzania
2025 ni mwaka unaotarajiwa kutawaliwa na matukio mengi ya kisiasa nchini Tanzania kutokana na uwepo wa uchaguzi mkuu wa urais wa Muungano na Zanzibar. Wabunge, Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar na Madiwani katika kata zipatazo 4,000 nchi nzima.
Je, Chadema inajijenga au inajimega?
Kuna vita vya aina mbili ambavyo kwa sasa Chadema inapigana kwa wakati mmoja. Wao kwa wao na wao dhidi ya utawala.
CCM yampitisha rasmi Rais Samia kuwania urais 2025
Hii leo, baadhi ya wajumbe waliokuwa wakitoa michango yao juu ya utekelezwaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM walipendekeza mkutano huo kuwapitisha Rais Samia na Rais Mwinyi kama wagombea wa urais kutokana na maendelea walioyasimamia.