Kwanini makavazi ya kisasa yamekuwa gumzo Nairobi?
Kwanini makavazi ya kisasa yamekuwa gumzo Nairobi?
Je, uko kubadilisha mtazamao wako wa kawaida? Jiunge nasi katika safari ya kipekee hadi makavazi ya kisasa ujionee uhalisi uliobadilishwa kwa njia ya ubunifu jijini Nairobi, Kenya.
Makavazi haya mapya na ya kipee duniani, yanaangazia masuala mbalimbali kutoka kwa watengenezaji maudhui.