BBC News, Swahili - Habari
Habari Kuu
'Kama waliteswa waje washtaki' Polisi Tanzania wawaambia wanaharakati
Kamanda wa Polisi Kanda maalum ya Dar es salaam Jumanne Muliro ameiambia BBC kuwa wanaharakati kutoka Kenya na Uganda Boniface Mwangi na Agatha Atuhaire kama waliteswa basi waende kushtaki katika mamlaka husika.
India na Pakistani: Nani mbabe wa kijeshi kati ya mataifa haya yanayozozana?
Pakistan inasema ilizidungua droni 25 za India zenye silaha (SiHAs) kote nchini kufuatia mashambulizi ya eneo la Kashmir linalotawaliwa na Pakistan .
'Janga halisi': Jinsi uharibifu wa bomu la kimkakati la Ukraine ulivyoitikisa Urusi
Ukraine kwa mara nyingine tena imeishangaza Urusi na ulimwengu kwa shambulio ambalo linaonekana kama limetoka moja kwa moja kwenye eneo la Hollywood.
Gwajima: Askofu mwenye utata anayepaza sauti dhidi ya utekaji Tanzania
Wakati wa janga la UVIKO-19, Gwajima alikuwa mstari wa mbele kuendesha kampeni hadharani ya kupinga chanjo dhidi ya ugonjwa huo. Miongoni mwa kauli zake nyingi, alinukuliwa akisema chanjo hizo si salama, ingawa tatizo hakuwa anatoa ushahidi wowote wa madai yake.
Kwa nini mwandiko wa daktari ni mbaya? Wanasayansi wa neva wanaeleza
Mwandiko wetu kwa kiasi fulani huathiriwa na anatomia yetu na sifa za urithi tunazorithi kutoka kwa wazazi wetu.
'Nilichangisha $200,000 kusomea Harvard - sasa sijui itakuwaje'
Fatou Wurie amebakisha na miezi kadhaa kabla ya kuhitimu katika Chuo Kikuu cha Harvard lakini juhudi zake zote sasa zinakabiliwa na tishio.
Tetesi za soka Ulaya Jumanne: Man Utd kuanza mazungumzo na Mbeumo
Mshambulizi wa Brentford Bryan Mbeumo anataka kujiunga na Manchester United , ambayo sasa iko tayari kuanzisha mazungumzo ya kumsajili mchezaji huyo wa kimataifa wa Cameroon mwenye umri wa miaka 25.
Ndoa tano za wasanii wakubwa duniani zilizofungwa kimya kimya
Harusi za faragha hazina shinikizo kubwa, kwani hakuna muda wa kuzingatia matarajio ya wengine, ili kukidhi masilahi ya mashabiki. Na hilo huzifanya harusi hizi kuwa na gharama ndogo pia.
Mwanasayansi aliyesaidia China kuwa nchi yenye nguvu duniani baada ya kufukuzwa na Marekani
Utafiti wake ulisaidia kutengeneza roketi zilizorusha satelaiti ya kwanza ya China angani na makombora ambayo yalikuja kuwa sehemu ya silaha za nyuklia za China.
'Usuhuba wa Kabila na M23' ni suluhu ya mzozo wa DRC au kivuli kipya cha vita vya muda mrefu?
Rais wa zamani DRC Joseph Kabila amekuwa mjini Goma mashariki mwa nchi hiyo, eneo linalodhibitiwa na waasi wa M23, hatua iliyoibua maswali kuhusu hatma ya suluhu ya muda mrefu ya mzozo unaendelea nchini humo.
Mashambulizi ya droni ya Ukraine yatuma ujumbe muhimu kwa Urusi na Magharibi
Kwa kuzingatia maelezo yaliyofichuliwa na vyombo vya habari na shirika la ujasusi wa kijeshi la Ukraine (SBU), operesheni ya hivi karibuni ndiyo yenye mafanikio zaidi kufikia sasa.
Tunayofahamu kuhusu sheria ya ardhi ya Afrika Kusini inayomkera Trump
Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa yuko katikati ya dhoruba ya kisiasa baada ya kuidhinisha sheria ambayo inaipa serikali mamlaka ya kuchukua baadhi ya ardhi inayomilikiwa na watu binafsi bila kuwalipa fidia.
BBC News Swahili sasa ipo WhatsApp
Gumzo mitandaoni
Silaha mpya ya kutisha inayobadilisha vita nchini Ukraine
Harufu kali imetanda kwenye mji wa Rodynske. Dakika chache baada ya kuingia mjini, tunatazama inatoka wapi.
Kuomba radhi kwa Marais Ruto na Museveni ni mwanzo mpya au danganya toto?
Katika matukio nadra sana kutokea, marais William Ruto wa Kenya na Yoweri Museveni wa Uganda wameomba msamaha. Lakini nini hasa kilitokea?
Nyuma ya mitandao na giza la uhalifu, unyama na unyanyasaji
Matukio ya mauaji ya halaiki, unyanyasaji wa kingono kwa watoto, na matamshi ya chuki, aina hii ya maudhui inafurika kwenye barua pepe za waangalizi wa maudhui ya mtandaoni.
'Walitupiga na kutubaka barabarani hadharani'
Wanawake na wasichana katika jimbo la Darfur nchini Sudan wako katika hatari ya kukabiliwa na ukatili wa kingono, shirika la matibabu lisilokuwa na mipaka Médecins Sans Frontières (MSF) limeonya.
Fahamu vita vya nyuklia vilivyoitikisa dunia
Hadi kufikia sasa, silaha za nyuklia zimetumiwa mara moja tu katika mapigano ya kijeshi mwaka wa 1945 wakati Marekani ilipodondosha mabomu ya nyuklia huko Hiroshima na Nagasaki nchini Japani.
Wanaume wa aina gani wako hatarini zaidi kupata saratani ya tezi dume?
Saratani hii huwapata zaidi wanaume wazee wenye umri wa zaidi ya miaka 75. Ni nadra sana kwa wanaume walio chini ya umri wa miaka hamsini.
Wanaharakati maarufu wanaozikosesha usingizi nchi zao Afrika Mashariki
Askofu mmoja wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Benson Bagonza anatafsiri uanaharakati kama imani na ushawishi katika jambo fulani analosimamia mtu na kulipigania.
Je, Tanzania iko tayari kwa umeme wa nyuklia?
Kwa sasa, zaidi ya mataifa 30 duniani yanatumia madini ya urani kuzalisha umeme, wakati huo huo Tanzania ikithibitisha kuwepo kwa zaidi ya 58,000 za urani nchini humo
'Hakuna mahali salama' - Raia waliokwama kati ya waasi na wanajeshi
Mapambano ya kutaka kujitenga yanatokana na malalamiko ya muda mrefu ambayo yanaanzia wakati wa uhuru mwaka 1961, na kuundwa kwa taifa moja la Cameroon mwaka 1972 kutoka maeneo ya zamani ya Uingereza na Ufaransa.
Yafahamu matunda hatari zaidi duniani
Matunda ni ovari zilizokomaa, zilizoiva za mimea ya maua ambayo humiliki mbegu na mara nyingi ni chakula kitamu.
Michezo
Afya yako
Waridi wa BBC
Sikiza / Tazama
Vipindi vya Redio
Listen Next, Amka Na BBC, 05:59, 4 Juni 2025, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Dira Ya Dunia, 18:29, 3 Juni 2025, Muda 1,00,00
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 06:59, 3 Juni 2025, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 05:59, 3 Juni 2025, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Dira ya Dunia TV
Kipindi cha habari motomoto, kinachowaweka watazamaji karibu zaidi na yanayojiri duniani
Zinazovuma zaidi
Mitandao ya Kijamii
Uchaguzi Mkuu Tanzania 2025
Kipenga cha uchaguzi mkuu 2025 kimepulizwa Tanzania
2025 ni mwaka unaotarajiwa kutawaliwa na matukio mengi ya kisiasa nchini Tanzania kutokana na uwepo wa uchaguzi mkuu wa urais wa Muungano na Zanzibar. Wabunge, Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar na Madiwani katika kata zipatazo 4,000 nchi nzima.
Je, Chadema inajijenga au inajimega?
Kuna vita vya aina mbili ambavyo kwa sasa Chadema inapigana kwa wakati mmoja. Wao kwa wao na wao dhidi ya utawala.
CCM yampitisha rasmi Rais Samia kuwania urais 2025
Hii leo, baadhi ya wajumbe waliokuwa wakitoa michango yao juu ya utekelezwaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM walipendekeza mkutano huo kuwapitisha Rais Samia na Rais Mwinyi kama wagombea wa urais kutokana na maendelea walioyasimamia.