BBC News, Swahili - Habari
Gumzo mitandaoni
Waliohama Chadema: Wanakwenda kukifufua Chaumma au kudidimia nacho?
Taarifa za vyombo vya habari vya ndani nchini Tanzania zinaeleza kuwa mamia ya wafuasi wengine wa Chadema wako njiani kuhamia Chauma. Bila shaka hizi ni taarifa za neema kwa chama hicho na taarifa mbaya kwa Chadema.
Mwanaharakati wa Kenya Boniface Mwangi aachiwa huru Tanzania
Mwanaharakati huyo alipatikana katika eneo la Ukunda, mpakani mwa nchi hizo muda mfupi baada ya Kenya kuiomba Tanzania kumuachilia huru
Namna Marekani ilivyopata Uhuru kwa kikombe cha Chai
Hunywewa kwa amani majumbani, maofisini, mitaani na hata bungeni. Lakini historia ya chai haijawa na utulivu kila wakati. Kuna wakati, kikombe cha chai kilikuwa silaha ya mapambano.
Kwa nini kesi ya Lissu inavutia macho ya kimataifa?
Uhaini ni kesi ambayo ukipatikana na hatia hukumu yake inaweza kuhusisha kunyongwa hadi kufa, na kesi ya kuchapisha taarifa za uongo, inaweza kukuingiza faini au kufungwa gerezani si chini ya miaka mitatu ama yote mawili.
Yafahamu matunda hatari zaidi duniani
Matunda ni ovari zilizokomaa, zilizoiva za mimea ya maua ambayo humiliki mbegu na mara nyingi ni chakula kitamu.
Ibrahim Traore: Habari potofu zinazotumiwa kumtukuza kiongozi huyu wa kijeshi
Mamia ya video zinazotolewa na AI zikimuonesha Bw Traoré kama shujaa wa Afrika nzima, nyingi zikiwa na taarifa za uongo, zimekuwa zikijaa kwenye mitandao ya kijamii kote Afrika, Kusini mwa Jangwa la Sahara tangu mwishoni mwa Aprili.
Je, kula haraka haraka ni mbaya kwa afya yako?
"Kula kwa uangalifu mara nyingi husababisha kula polepole zaidi ... kwa kawaida hupungua, unatulia ili kufahamu kile unachokula na matokeo yake, unachukua muda wako.
Je, Chadema inajijenga au inajimega?
Kuna vita vya aina mbili ambavyo kwa sasa Chadema inapigana kwa wakati mmoja. Wao kwa wao na wao dhidi ya utawala.
Ifahamu mimea mitano inayolindwa zaidi duniani
Kwa mujibu wa Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO), mimea ni asilimia 80 ya chakula cha binadamu na asilimia 98 ya oksijeni.
Kanisa Katoliki lina utajiri kiasi gani na unatoka wapi?
Kanisa Katoliki ni taasisi ya kidini ambayo, kwa nadharia, haina lengo la kukusanya mali au kupata faida, kulingana na Kanuni ya Sheria ya Canon, lakini je, inapataje mali zake?
Mambo sita kuuelewa msimamo wa Papa mpya
Papa Leo alichaguliwa kuwa kiongozi mpya wa Kanisa Katoliki Alhamisi kufuatia kifo cha mtangulizi wake, Papa Francis, katika kongamano la siku mbili katika Jiji la Vatican.