Wajasiriamali wanavyochangia upatikanaji wa maji safi Senegal
Wajasiriamali wanavyochangia upatikanaji wa maji safi Senegal
Vijiji vingi nchini Senegal vimekumbwa na uhaba wa maji safi na salama. Hali hiyo imewafanya baadhi ya wajasiriamali kulichukulia hilo kama fursa na kuanzisha vioski au maduka ya kuuza maji safi yaliyochujwa na kuongezewa madini ya Klorini.