‘Napenda kazi yangu initambulishe kuliko kiki’ - Phina, Mwanamuziki wa Tanzania

Maelezo ya video, ‘Napenda kazi yangu initambulishe kuliko kiki’ - Phina, Mwanamuziki wa Tanzania
‘Napenda kazi yangu initambulishe kuliko kiki’ - Phina, Mwanamuziki wa Tanzania

Msanii wa Tanzania Saraphina maarufu kama @phina_tz amekuwa akikua kimuziki tangu alipoachia kibao chake kinachopendwa na wengi katika uga wa Afrika Mashariki na kati cha ‘Upo Nyonyo’.

Phina akitokea katika familia iliyompinga kufanya muziki, anajivunia utunzi bora wa mashairi na utambulisho wake binafsi wa sauti na madaha jukwaani huku akionekana kutofurahishwa na wengi wanaomuona kama anatafuta kiki kupitia kufanana kwake kwa sauti na mwanamuziki wa zamani @vanessamdee.

Katika mahojiano na mtangazaji Kinara wa BBC @roncliffeodit mwanamuziki huyu anabainisha utambulisho wake unaomfanya awe wa kipekee.

Video: @frankmavura

Phina