Mafuriko India: Tazama jinsi nyumba hii ilivyosombwa na mafuriko jimbo la Kerala

Maelezo ya video, Mafuriko India: Tazama jinsi nyumba hii ilivyosombwa na mafuriko jimbo la Kerala

Takriban watu 26 walifariki katika mafuriko kusini mwa India baada ya mvua kali kusababisha mto kufurika , na kusababisha uharibifu mkubwa katika miji na vijiji.

Video moja iliosambaa mitandaoni ilionyesha jinsi nyumba moja ilivyosombwa na mafuriko hayo huko Kerala kusini mwa nchi hiyo.