Polisi anaswa katika video akimzuilia na kumuonya mshukiwa kwamba atamnyonga

Maelezo ya sauti, Afisa wa polisis achunguzwa kwa matamshi ya kutisha

Afisa mmoja wa polisi anachunguzwa baada ya video kusambaa mitandaoni ikimuonyesha akimzuia mtu na kumwambia atulie ama atamyonga.

Tizama video hio kwenye tovuti ya bbc inayomuonesha afisa huyo akimwangusha mtuhumiwa chini na kumwekelea mkono shingoni mwake.