Mchuano baina ya Lakers na L A Clippers waahirishwa

Maelezo ya sauti, Mchuano wa timu baina ya Lakers na L A Clippers waahirishwa

Wasimamizi wa mchezo wa vikapu nchini Marekani wameahirisha mechi ya La Clippers kufuatia kifo cha aliyekuwa mchezaji wao Kobe Bryant. Mechi hiyo ilikuwa imepangwa kufanyika leo baina ya Los Angeles Lakers' na washindani wao wa jadi LA Clippers.