Mshawishi maarufu wa mtandao anayeishi maisha 'feki' nchini China

Maelezo ya sauti, Mshawishi maarufu wa mtandao anayeishi maisha feki nchini China

Mshawishi maarufu wa mtandao nchini China,Lisa Li ameangaziwa kwa kuishi maisha ya "feki", baada ya mwenye nyumba aliyopangisha kufichua maisha yake halisi yanayotofautiana na muonekano anaonadi mtandaoni.

Je, umeshuhudia watu kama hao mitandaoni?

Tujadiliane kwenye Facebook BBCSwahii