Je, Israel inatoa silaha kwa kundi la ISIS?

.

Chanzo cha picha, AFP via Getty Images

Upinzani wa Israel umeishutumu serikali kwa kulipatia silaha kundi lenye uhusiano na ISIS huko Gaza. Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu alisema, "Kuna ubaya gani katika hilo");