Dj Babymama ni msichana wa kwanza wa kizanzibari anayepiga muziki

Maelezo ya video, DJ Babymama ni msichana wa kwanza wa kizanzibari anayepiga muziki

Aisha Bakari Mohamed maarufu kama DJ Babymama ni msichana wa kwanza wa kizanzibari anaefanya shughuli za kupiga muziki katika maeneo mbalimbali (DJ).

Huvalia mavazi ya kujistiri ikiwemo hijab wakati wa kazi zake, na kupiga muziki katika maeneo ya starehe kama vilabu na migahawa.

Hijab ni vazi la wanawake wa Kiislam ambalo hutumia kujifunika maeneo ya mwili ama kujistiri, Aisha hutumia vazi hilo hata akiwa katika kazi zake, ikiwemo kupiga muziki kwenye vilabu vya burudani.

Unaweza kupata taarifa zaidi kwa kusoma