Coronavirus: Jinsi wafanyakazi India walivyotembea kwa miguu kurudi vijijini

Maelezo ya video, Coronavirus:Wafanyakazi wahamiaji India waondoka mijini kuelekea vijijini kwa miguu

Mlipuko wa virusi vya corona nchini India umewafanya wafanyakazi wahamiaji kufanya safari ndefu kutoka mjini kuelekea nyumbani kwao vijijini kwa miguu kwa umbali wa zaidi ya kilomita 200 baada ya mabasi kuzuiwa kufanya safari kuelekea vijijini.